Lewis Hamilton amesema hakuna tena bahati mbaya kama atapambana na kupita mwenzake Nico Roseberg...Toma msimu uanze Hamilton amepata bahati mbaya nyingi na zimefanya awe nyuma ya Roseberg kwa points 36...Chinese GP Lewis limaliza wa 7 na hapo alipambana kweli wakati mwenzake alishinda kirahisi...Lewis alipewa penalty kwa kubadilisha engine...Engine yake ilisumbua na pia ilikuwa haina nguvu hasa wakati wa kuanza shindano...
0 Yorumlar